The Centre's Service Charter
Printer-friendly version

The Centre has put in place a customer satisfaction evaluation system intended for assessing customer satisfaction against a services charter.  A questionnaire is issued to customers to evaluate all the services rendered at the Centre. The responses from customers are analysed monthly. The Service Charter here in English and Kiswahili, is the Center’s undertaking to the customer of what is required, time lines and cost.

 

COMMITMENT TO SERVICE DELIVERY

Service

Requirements

Cost

Timeline

Examinations disciplinary cases for students

Communication of verdict to the student

 

Nil

To be done within seven (7) days

Graduation ceremonies

Successful completion of studies

 

4,000/=

To be held twice in a year

Issuance of University certificates

 • Original ID 
 • Graduands clearance form

Nil

Certificates will be issued within eight(8) weeks after graduation

 

Issuance of University academic transcripts

 • Clearance from the University
 • Original ID

 

Nil

Transcripts will be issued within one week upon application.

Responding to telephone calls

-

 

Nil

 

Within twenty seconds.

Certification of University documents

 Originals certificates and transcripts and copies

 

 

200/= per leaf

 

 

Within three (3) days

Transcripts re-issue

 

Request for re-issue

 

500/= per set

 

Within three (3) days

Confirmation/verification of University documents

Copies of University documents

 

Nil

 

Within one (1) week

Storage charges: Degree certificates

 • Clearance from the University
 • Graduands clearance form
 • Original ID

1,000/= per year

To be issued within a day

Letter in lieu of loss of degree certificate

 • Request letter
 • Police abstract
 • ID/Passport

500/=

 

To be issued within three (3) days

Examination appeal

Letter of Appeal

1,000/=

 

To be completed within sixty (60) days.

Complaints, complements and suggestions should be forwarded to the

Central Examinations Centre:  Tel.: 020-491-4202, 020-491-4203, 020-491-4206, 2538881/3   

e-mail: examinations@uonbi.ac.ke

In case of an appeal to office of the Vice-Chancellor, University of Nairobi, P.O. Box 30197 – 00100, NAIROBI, KENYA. 

Tel.: 254-020-318262, Fax: 254-020-245566, e-mail: vc@uonbi.ac.ke

Website:  www.uonbi.ac.ke.

Click here for the PDF Version

 

KUJITOLEA KUTOA HUDUMA

HUDUMA

YANAYOHITAJIKA

MATOZO

MUDA

Kesi za nidhamu zinazohusisha wanafunzi kwa mitihani

Kujulisha matokeo ya Senate

Hakuna malipo

Yakamilike kwa muda wa siku saba (7)

Mahafala ya kufuzu

Fomu ya ukamilifu ya mafunzo

KES 4000/=

Katika mwezi wa Septemba na Desemba kila mwaka

Kutolewa kwa vyeti vya chuo kikuu

 • Kitambulisho kikamilifu
 • Fomu ya ukamilifu

Hakuna malipo

Vyeti vya chuo kikuu vitatolewa katika kipindi cha wiki nane (8) baada ya kufuzu

Kupeana nakala za alama za matokeo ya mtihani

 • Ruhusa ya kuondoka
 • Kitambulisho kikamilifu

Hakuna malipo

Nakala za alama za matokeo vitatolewa katika muda wa wiki moja baada ya maombi

Kujibiwa kwa simu

-

Hakuna malipo

Simu zote zinazo pigwa zitajimbiwa katika muda wa sekunde ishirini 

Utaratibu wa kuthibitishwa kwa vyeti vikamilifu na nakala za chuo kikuu

Vyeti vikamilifu na nakala za alama za matokeo

KES 200/= kwa kila toleo

Kwa muda wa siku tatu

Kupeana tena kwa nakala za alama za matokeo

Ombi la kupewa tena

KES 500/= kwa ombi lote

Kwa muda wa siku moja

Kuthibitishwa kwa hali na nakala za chuo kikuu

Nakala za chuo kikuu

Hakuna malipo

Kwa muda wa siku saba

Malipo ya kuwekewa cheti

 • Nakala ya ruhusa ya kuondoka
 • Fomu ya ukamilifu
 • Kitambulisho

KES 1000/= kwa mwaka

 

Kwa muda wa siku moja

Barua ya kuthibitisha kuhitimu kwa cheti kilicho potea

 • Barua la ombi
 • Cheti cha polisi
 • Kitambulisho/pasipoti

KES 500/=

Kupeanwa kwa muda wa siku tatu

Ombi la kukubaliwa tena chuoni

Ombi la kukubaliwa

 

KES 1000/=

Kutamatishwa katika kipindi cha siku sitini (60) za kazi

Malalamiko, shukrani na mapendekezo yatumwe kwa kituo kikuu cha mitiani:

Simu: 020-491-4202, 020-491-4203, 020-491-4206, 254-020-2538881/3

Barua pepe: examinations@uonbi.ac.ke

Na iwapo ni kuhusu rufaa ofisi ya makamu mkuu wa chuo, chuo kikuu cha Nairobi, S.L.P. 30197 – 00100, Nairobi- Kenya,

Simu: 254-020-318262, Faksi: 254-020-245566, Barua pepe: vc@uonbi.ac.ke

www.uonbi.ac.ke

Pdf iko hapa.