Academic Division Service Charter

SERVICE CHARTER  - ENGLISH

 

SERVICE

REQUIREMENTS

COST

TIMELINE

 

1.

 

Issuance of admission letters

 

Meeting University admission requirements

 

Nil

 

-Eight weeks to reporting date for regular students.

-For Module II applicants shall be sent letters  within two weeks after approval by the Deans Committee.

 

2.

 

University certificates  and transcripts

 

 

Completed clearance form

 

 

Nil

-Certificates will be issued within eight weeks after graduation.

-Transcripts will be issued within one week upon application.

 

3.

 

Issuance of guidelines on:

-Application   procedures

- Examination rules

-Fees structures

- Rules and disciplinary procedure.

-Student support systems.

 

 

 

Meeting University admission requirements

 

Nil

 

Eight weeks to reporting date for regular students.

-For Module II applicants shall be sent letters  within two weeks after approval by the Deans Committee.

Complaints, complements and suggestions should be forwarded to the following:

  • Academic Registrar – Administration Block room 307 Tel. 318262 Ex. 28117
  • Deans/Senate Secretariat – Administration Block room 307  Tel. 318262 Ex. 28254
  • Admissions – Administration Block Room 112 Tel. 318262 Ex. 28280
  • Examinations – Central Examination Center Tel. 2538883

Appeals should be forwarded to the Office of the Deputy Vice-Chancellor (Academic Affairs)

Feedback may be channeled via: Telephone, Letters, E-mails and suggestion boxes.

Confidentiality shall be respected. All feedback shall be addressed within seven days.

 

AHADI YA HUDUMA

 

HUDUMA

YANAYOHITAJIKA

MATOZO

MUDA

 

1.

 

Upokeaji wa barua za usajili

 

 

Kuhitimu  mahitaji  ya usajili

 

Hakuna malipo

-Wiki nane kabla ya siku ya kufika chuoni kwa wanafunzi  ambao karo za zalipwa na Serikali.

-Wiki mbili baada

ya mkutano wa Kamati  ya wakuu wa vitivo.

 

2.

 

Kutolewa  kwa vyeti vya Chuo kikuu na alama  za matokeo.

 

 

Kujaza fomu ya kukamilisha masomo

 

Hakuna malipo

-Vyeti vya Chuo Kikuu vitatolewa katika kipindi cha wiki nane baada ya kufuzu.

-Vyeti vya alama za matokeo vitatolewa katika muda wa wiki moja bada ya maombi.

 

3.

 

Kutoa mwongozo kuhusu ratiba za masomo

 

 

Kusajiliwa chuoni

 

Hakuno malipo

 

Baada ya kusajiliwa

Mlalamiko,shukrani na mapendekezo yawasilishwe kupitia anwani hii:

Msajili wa maswali ya kiakademia- Chumba cha utawala nambari 307 Simu 318262 Ext. 28117

Mratibu wa Seneti -Chumba cha utawala nambari 307. Simu 318262 Ext. 28254

Usajili wa wanafunzi -Chumba cha utawala nambari 112. Simu 318262 Ext 28280

Mitihani-Kituo kikuu cha mitihani. Simu 2538883

Rufaa zote ziwasilishwe kwa naibu wa makamu mkuu wa chuo kikuu (Maswali ya Kiakademia)

Majibu yanaweza kuwasilishwa kupitia:Simu, barua, barua pepe na masanduku ya mapendekezo. Siri zote zitahifadhiwa. Majibu yote yatashughulikiwa na kuwasilishwa kwa siku saba.

Published Date