SERVICE CHARTER  - ENGLISH

  SERVICE REQUIREMENTS COST TIMELINE
1 Issuance of admission letters Meeting University admission requirements Nil

- Eight weeks to reporting date for regular students.

- For Module II applicants letters shall be sent out within two weeks after approval by the Deans Committee.

2

University certificates  and transcripts

Completed clearance form

Nil

- Certificates will be issued within eight weeks after graduation.

-Transcripts will be issued within one week upon application.

3

Issuance of guidelines on:

- Application   procedures

- Examination rules

- Fees structures

- Rules and disciplinary procedure.

Meeting University admission requirements

Nil

- Eight weeks to reporting date for regular students.

- For Module II applicants shall be sent out within two weeks after approval by the Deans Committee.

Complaints, complements and suggestions should be forwarded to the following:

  • Academic Registrar – UoN Towers, 13th Floor
  • Deans/Senate Secretariat – UoN Towers, 13th Floor Rm 4 Tel. 0204913066/3050/8030
  • Admissions – Administration Block Room 112 Tel. 318262 Ex. 28280
  • Examinations – Central Examination Center Tel. 2538883

Appeals should be forwarded to the Office of the Deputy Vice-Chancellor (Academic Affairs)

Feedback may be channeled via: Telephone, Letters, E-mails and suggestion boxes.

Confidentiality shall be respected. All feedback shall be addressed within seven days.

 

 

AHADI YA HUDUMA

No HUDUMA YANAYOHITAJIKA MATOZO MUDA
1

Upokeaji wa barua za usajili

Kuhitimu  mahitaji  ya usajili

Hakuna malipo

- Wiki nane kabla ya siku ya kufika chuoni kwa wanafunzi  ambao karo za zalipwa na serikali.

- Wiki mbili baada ya mkutano wa Kamati ya wakuu wa vitivo.

2

Kutolewa  kwa vyeti vya Chuo kikuu na alama  za matokeo.

Kujaza fomu ya kukamilisha masomo

Hakuna malipo

- Vyeti vya Chuo Kikuu vitatolewa katika kipindi cha wiki nane baada ya kufuzu.

- Vyeti vya alama za matokeo vitatolewa katika muda wa wiki moja bada ya maombi.

3

Kutoa mwongozo kuhusu ratiba za masomo

Kusajiliwa chuoni

Hakuna malipo

Baada ya kusajiliwa

Mlalamiko, shukrani na mapendekezo yawasilishwe kupitia anwani hii:

  • Msajili wa maswali ya kiakademia – UoN Towers, 13th Floor
  • Mratibu wa Seneti – UoN Towers, 13th Floor Rm 4 Tel. 0204913066/3050/8030
  • Usajili wa wanafunzi – Administration Block Room 112 Tel. 318262 Ex. 28280
  • Mitihani – Central Examination Center Tel. 2538883

Rufaa zote ziwasilishwe kwa naibu wa makamu mkuu wa chuo kikuu (Maswala ya Kiakademia)

Majibu yanaweza kuwasilishwa kuitia: Simu, barua, barua pepe na masanduku ya mapendekezo.

Siri zote zitahifadhiwa. Majibu yote yatashughulikiwa na kuwasilishwa kwa siku saba.

Published Date